Salaams,

Nimefurahishwa sana na wazo lako la kuchapisha kitabu. Baada ya kuandika na kuchapisha vitabu mbalimbali ninaelewa karaha na usumbufu unaowakumba waandishi wapya.

Nitafurahi kukusaidia kufanikisha malengo yako nikijaaliwa. Tafadhali tembelea Welcome to Locus Press na ututumie muhtasari wa kazi yako ili niweze kuifanyia tathmini. Locus Press ina lengo la kutoa upendeleo zaidi kwa waandishi wa kutoka Tanzania.

Wasalaam,

Dr Imani Silver Kyaruzi
Nashukuru mkuu. Nimetembelea na nimefurah kwani naamini nitapata msaada stahiki.