Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,765
- 6,726
Hicho kitoto kinachojiita Lucha ni ccm mwenzio,ila hakina hoja...ni wale ccm wasiojitambua na pengine wako huko kwa sababu ni dini moja na mazaNani amekuambia kashtakiwa kwa Uhaini?
Hivi nyie vitoto Uhaini mnaujua lakini? π
Hakuna kesi hapo.Kwahiyo unataka anyongwe bila kupewa muda wa kujitetea? Kama ni hivyo ni wazo zuri pia serekali irekebishe
Wewe ni mpuuzi mmoja usiyejitambua wala kutambulika.Mi siwezi kuwa mwanachama wa majizi ya Ccm wala kuwa nyumbu wa chadema
Analipia AbduliHabari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Tofauti yako na kiazi ni magandaWewe ni mpuuzi mmoja usiyejitambua wala kutambulika.
Hilo ni dili watu wanapiga pesa kukusanya ushahidi wa uongo na utapeli, tunaserikali ya hovyo snHabari wanajukwaa? Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma? Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine. Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.
Kwani bajeti ya wizara ya katiba na sheria kazi yake nini?.Habari wanajukwaa?
Hivi gharama za uendeshaji kesi ya Lissu zinatoka wapi? (Posho kwa maaskari, posho kwa maafisa wa mahakama na nyinginezo) au kwa Tanzania gharama za uendeshaji Kesi hazitazamwi kama matumizi mabaya ya pesa za umma?
Madeni ya Taifa yanaongezeka na bado matumizi yasiyo ya lazima yanaongezeka? Tanzania kama nchi tunamatatizo mengi sana yanayohitaji pesa lakini tunaelekeza kwenye kesi za kisiasa. Kwanini kesi zisitumie muda mfupi, pesa nyingine ziendeshee kesi zingine.
Pia mahakama za Tanzania hazipo huru na sio shindani.