Unatarajia kujenga wapi mkuu, gharama za ujenzi hutofautiana kati ya eneo na eneo.Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu wenu yanavyokuwa.
Nyumba ni contemporary itakuwa maeneo ya Dar.
Nyumba ina square meter 150 (10*15)
- 3 bedrooms (1 master + 2 za kawaida)
- public toilet 1
- sitting room
- jiko
- store
- laundry ndogo
- kaofisi kadogo
Karibuni wakuu mfunguke.
Wapo wa mkoani kwa 3.2 M, hapo huibiwi hata msumari mmoja hata usipofika site mwezi mzimaWakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu wenu yanavyokuwa.
Nyumba ni contemporary itakuwa maeneo ya Dar.
Nyumba ina square meter 150 (10*15)
- 3 bedrooms (1 master + 2 za kawaida)
- public toilet 1
- sitting room
- jiko
- store
- laundry ndogo
- kaofisi kadogo
Karibuni wakuu mfunguke.
Kigamboni mkuuUnatarajia kujenga wapi mkuu, gharama za ujenzi hutofautiana kati ya eneo na eneo.
Uanzie hapo kupiga gharama za materials mkuu, pia eneo limekaa vipi mf lina mwinuko au tambarare, aina ya udongo kwa uchache.Kigamboni mkuu
Mimi nimejenga Dar Kwa awamu. Ni nyumba ya vyumba vinne, vyoo viwili, sebule, dinning, kitchen, Contemporary House.Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu wenu yanavyokuwa.
Nyumba ni contemporary itakuwa maeneo ya Dar.
Nyumba ina square meter 150 (10*15)
- 3 bedrooms (1 master + 2 za kawaida)
- public toilet 1
- sitting room
- jiko
- store
- laundry ndogo
- kaofisi kadogo
Karibuni wakuu mfunguke.