Gharama za Ujenzi kwa ramani hii

Gharama za Ujenzi kwa ramani hii

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
368
Reaction score
425
Nimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja cha ukubwa gani
Screenshot_2022-06-04-19-41-26-67_f541918c7893c52dbd1ee5d319333948.jpg


Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hio nyumba ni kubwa. SQM zaidi ya 230. Kiwanja inabidi kiwe na SQM 800 yaani 20m*40m
 
Sijajua makadirio ya ujenzi ila ushauri wangu mdogo tu wenye manufaa makubwa, nenda kanunue vifaa mwenyewe usimtume fundi kama utaweza.
Mbao ya elf 6, atakwambia elf 9 au 10.
Makinika, utanishukuru baadae.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja cha ukubwa ganiView attachment 2250554

Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
Mlango wa master na mlango wa girls room inatakiwa itofautiane, pili iyo corridor itakuwa giza muda mote paka mlango wa nyuma ufunguliwe,Au uwashe taa

kwenye design haitakiwi,
kila kitu kinatakiwa kijitegemed, Corridor inatakuwa full time iwe na mwanga wa asili wa jua,
Pili angalia direction ya hewa kuchek location ya choo maana ukikose harufu ya choo itarud ndani sitting room.
 
Kama ni hizi 20x20 tulizozoea hii nyumba haitoshi. Nimeona urefu wa 21m na upana 11m. Kiwanja walau 20x30, ie 600sqm.
 
Back
Top Bottom