Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Mlango wa master na mlango wa girls room inatakiwa itofautiane, pili iyo corridor itakuwa giza muda mote paka mlango wa nyuma ufunguliwe,Au uwashe taaNimeikuta sehemu hii floor plan na nimeipenda... Mwenye nayo ameniambia mjengo ni contemporary house. Wataalamu naombeni makadirio ya ujenzi kama nikiitumia hii ramani na inatosha kwenye Kiwanja cha ukubwa ganiView attachment 2250554
Sent from my IN2023 using JamiiForums mobile app
Tena hiyo 40 yenyewe iwe ndio upana. Urefu 20. Though akipata 30 upana 25 urefu inakuwa bora zaidi.Mkuu hio nyumba ni kubwa. SQM zaidi ya 230. Kiwanja inabidi kiwe na SQM 800 yaani 20m*40m