TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 2,926 Reaction score 3,530 Jan 28, 2021 #1 Je nitumie mbinu gani kupunguza Gharama ya kutengeneza kalavati Kivuko cha kuingia nyumbani Kuna mtaro huwa unapitisha mafuriko
Je nitumie mbinu gani kupunguza Gharama ya kutengeneza kalavati Kivuko cha kuingia nyumbani Kuna mtaro huwa unapitisha mafuriko
V Villanova tito Member Joined Dec 20, 2016 Posts 96 Reaction score 115 Jan 28, 2021 #2 Jenga kulingana na mtaro ulivyo usiubane
Me I and my self JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,077 Reaction score 8,828 Jan 28, 2021 #3 Piga picha hiyo sehemu uitume mkuu tusaidiane wazo...
abel frank Senior Member Joined Apr 11, 2013 Posts 157 Reaction score 68 Jan 29, 2021 #4 TIASSA said: Je nitumie mbinu gani kupunguza Gharama ya kutengeneza kalavati Kivuko cha kuingia nyumbani Kunamtaro hua unapitisha mafuriako Click to expand... Hebu wasiliana na kikundi cha UVIMO, ni wajenzi na wapauaji. 0753 961 896 0629 361 896 0753 927 572- Wasap Chini ya UVIMO nasi tukupe makadirio yetu pamoja na ushauri.
TIASSA said: Je nitumie mbinu gani kupunguza Gharama ya kutengeneza kalavati Kivuko cha kuingia nyumbani Kunamtaro hua unapitisha mafuriako Click to expand... Hebu wasiliana na kikundi cha UVIMO, ni wajenzi na wapauaji. 0753 961 896 0629 361 896 0753 927 572- Wasap Chini ya UVIMO nasi tukupe makadirio yetu pamoja na ushauri.