Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labour charge inategemea na factor nyingi sio SQM tu, vitu kama idadi ya nguzo, aina ya udongo, hali ya eneo (mteremko ama tambalale) n.kHabari za leo wakuu
Ninaplan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo n 238sq
Nataman kujua kujua makisio ya labour charge kaa fundi,
Nataman kujua makisio kwa floor
14*17
Naomben msaada
Kulipa kwa hatua ni utaratibu mzuri sana hasa kwa sisi tunaoungaunga.Labour charge inategemea na factor nyingi sio SQM tu, vitu kama idadi ya nguzo, aina ya udongo, hali ya eneo (mteremko ama tambalale) n.k
Katika ujenzi wa majengo ambayo yanatumia muda mrefu ni vizuri mkakubaliana kwa hatua (mfano msingi peke yake ni kiasi flani, boma kiasi flani n.k) au kama mtakubaliana kazi yote let say kazi yote kuanzia mwanzo mpaka finishing ni vyema mkaivunja vunja hiyo pesa ili ijulikane kila hatua flani inagharimu kiasi gani kabla hata kazi haijaanza ili ikitokea kutoelewana unakuwa unajua kabisa umlipe fundi kiasi gani kutokana na kazi alizozifanya tayari
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane au fatilia dondoo mbali mbali za ujenzi katika uzi wangu. Click ID yangu, nenda kwa post started by utaukuta
Hii ndio JF niliyoifahamu kitambo!Labour charge inategemea na factor nyingi sio SQM tu, vitu kama idadi ya nguzo, aina ya udongo, hali ya eneo (mteremko ama tambalale) n.k
Katika ujenzi wa majengo ambayo yanatumia muda mrefu ni vizuri mkakubaliana kwa hatua (mfano msingi peke yake ni kiasi flani, boma kiasi flani n.k) au kama mtakubaliana kazi yote let say kazi yote kuanzia mwanzo mpaka finishing ni vyema mkaivunja vunja hiyo pesa ili ijulikane kila hatua flani inagharimu kiasi gani kabla hata kazi haijaanza ili ikitokea kutoelewana unakuwa unajua kabisa umlipe fundi kiasi gani kutokana na kazi alizozifanya tayari
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane au fatilia dondoo mbali mbali za ujenzi katika uzi wangu. Click ID yangu, nenda kwa post started by utaukuta
.....JF i knew!💯Kulipa kwa hatua ni utaratibu mzuri sana hasa kwa sisi tunaoungaunga.