Bwegemsela
Member
- Aug 30, 2019
- 59
- 90
Gharama za uendeshaji za shule zipo juu mno.Jenga secondary ya Advance kizazi ichi wote wanafaulu primary na secondary
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana mkuu kwa ushauri ikiwezekana tufanye kazi piaMimi kama Fundi Mkubwa ntakupa/ mchanganuo kupitia pm Leo hii Asubuhi ..
Inatoshaaaa sana kama uko mkoan au nje ya mji jengea tofali za kuchoma tumia molam ndio iwe kama siment kwenye piga renta ndio tumia nondo na siment kisha piga lipu mzee utajikuta jengo limeinuka lote afu ata 10M haijaisha, ila jitahd kwny bat uweke japo za rang maana muonekano wa lodge ndio pesa yenyewe nunua yale mabat ya geji 30 yanakuwa mwng hv afu ubapige kuna rang za mabati yapake uweke muonekano mzur
Jenga secondary ya Advance kizazi ichi wote wanafaulu primary na secondary
Ushauri (kitonga): vuta umeme na maji site halafu tenga 10m nunua mashine ya tofali na mixer na material za tofali kisha fyatua tofali weeeeeeeeeeeeeeee. Halafu tumia hizo tofali zako kujengea. Utapunguza 40% ya gharama.
NB: Gharama inategemea na michoro ya gesti yako. Kama upo mkoani jenga kwa tofali za kuchoma, kisha piga plasta KWISHA KAZI!
Unampoteza mwenzio ,huo ni ujenzi wa miaka ya nyuma sana sio sasa, route unayomshauri atapoteza muda , pesa na unaweza na asipokuwa lakini hata quality ya tofali itakuwa mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT tuko pamoja kaka nipe ushauri
Ni kweli hii mbinu ya kizamani ambayo niliiona ni mbinu ya kimagumashi halafu inapoteza muda sana. Ila kwa siku za karibuni imeanza kurudi kasi. Mimi binafsi katika kuzururazurura nikauliza kwa nini wanafanya hivyo na wahusika wakaniambia mbinu hiyo ya kizamani inapunguza gharama sana.Unampoteza mwenzio ,huo ni ujenzi wa miaka ya nyuma sana sio sasa, route unayomshauri atapoteza muda , pesa na unaweza na asipokuwa lakini hata quality ya tofali itakuwa mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app