Gharama za Ujenzi wa nyumba ya ghorofa mbili

Ukitaka kujua lumpsum, utakata tamaa!! We, andaa 21-25M kwa ajili ya msingi.
M 10 kwa ajili ya boma, M 21-30 kwa ajili ya slab, M 8 kwa ajili ya boma la juu.. M 20 kwa ajili ya paa.
Finishingi itategemea na wewe.
Haya ndio makadirio ya ukweli, tena hapo awe anafuatilia kutoibiwa...
Finishing inategemea na yeye anachotaka.
 
Naomba Makadirio ya ujenzi wa ghorofa 2 ya kuishi
Sasa wewe jamaa upo serious kweli? Lete ramani, tukupe hayo makadirio, maana ombi lako ni tata. Hata kama ulimaanisha jengo la ghorofa la vyumba 2, ni muhimu kupata specifications za vyumba, ukubwa, nk. Kwa ulivyo uliza sidhani kama unaweza pata jibu zuri la kukusaidia hapa.
 
Kaka naomba tuwasiliane .
 
Watu kama hao wana hasira za maisha mwenzie kauliza swali ye anakuja kutukana wakati swali limeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…