Gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Pwani inaweza kuwa kiasi gani?

KANCHI85

Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
99
Reaction score
156
Mimi ni plan ya kujenga mwaka huu, nyumba yenye vyumba vitatu katika mkoa wa PWANI. Sasa nilikuwa nataka kujua inwea kugharimu bei gani mpaka imamilike ili nijiandae vizuri financially.

 
Pwani kubwa Sana..Kuna tofauti Kati ya Bagamoyo,Kibaha na Mkuranga au Kibiti.Chukua Total build area zidisha mara 500K Kwa SQM kama Unatumia Mkandarasi au Eneo Lote zidisha Mara 250K Kwa SQM Kama Unatumia Mafundi wa Mitaani,nawe ukiwa unapitia site Kukagua Kila siku.
 
Thanks
 
Itategemea na matirio unayotumia yana standard gan?
room 3 mm nimejenga hadi kupaua tu 25M (boma 15M Paa 10M)
 
Habari yako bwana KANCHI85 naitwa Cathbert professionally ni Quantity Surveyor (mkadiriaji majenzi),,,,kwa hiyo concern yako naomba nichek whatsup 0625272770 unipe full details za hyo ramani yako nikupe mwongozo wote wa cost zake katika kujengašŸ¤
 
kaomba mwongozo hapa Wew unataka WhatsApp
 
Weka mambo yote hapa huko whatsapp utatupiga
 
Hapana Boss hata wewe kuwa na amani kabisa karibu sana ni vile jamaa yupo seriouse na Hilo swala then hajatoa details za kutosha za ramani yake,,,kimsingi details hazijajitosheleza kutoa final say anayohitaji otherwise atume floorplans with it's dimensions niseme kitu.šŸ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…