Gharama za Ujenzi wa Nyumba

Gharama za Ujenzi wa Nyumba

Speedo

Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
70
Reaction score
19
Wasalaam wana JF,
Naomba kwa wazoefu kujulishwa makadirio ya kupaua nyumba kama hii hapa (picha) kwa maeneo ya Kibaha.
Nategemea kuezeka kwa bati sio vigae.
Upana wa nyumba ni kama mita 10 na urefu ni mita 18.
Asante kwa makadirio.
3Beds+Rooms+One+Master.bmp
 
Mkuu hizo 180square meter unaweka room nne au unataka spacious rooms?
naona nyumba kama kubwa kidogo.
 
Back
Top Bottom