MEGATRONE JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 1,140 Reaction score 2,141 Sep 16, 2024 #1 Habarini wakuu naomba kufahamishwa gharama za ujenzi wa fence/uzio wa eneo la ukubwa wa sqm 91! Natanguliza shukurani!
Habarini wakuu naomba kufahamishwa gharama za ujenzi wa fence/uzio wa eneo la ukubwa wa sqm 91! Natanguliza shukurani!
Santana JF-Expert Member Joined Apr 23, 2019 Posts 300 Reaction score 940 Sep 17, 2024 #2 Vipimo vya aneo vikoje, i mean urefu na upana wa pande zote 4.