Gharama za ujenzi zinatofautiana

Kicheche mkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
290
Reaction score
266
KWA NINI GHARAMA ZA UJENZI HAZIFANANI?

Umeshawahi kujiuliza:
Kwa nini nyumba ya 150 SQM inaweza kugharimu tofauti na jengo jingine lenye 150 SQM?

Jibu ni hili:
SQM PEKE YAKE HAIAMUI GHARAMA YA JENGO.

  • Nyumba ya makazi inaweza kuwa na partitions nyingi, vyumba, vyoo na finishing mbalimbali.
  • Jengo la ibada linaweza kuhitaji ukumbi mkubwa wenye nafasi pana, hivyo structural requirements zinaweza kuwa tofauti.
  • Jengo la biashara linaweza kuhitaji maeneo makubwa ya wazi, milango mingi, huduma za maji na umeme zaidi, ventilation na mahitaji maalum kulingana na aina ya biashara.
Ndiyo maana mtu akisema:
β€œNataka jengo la 200 SQM. Litagharimu kiasi gani?”

Swali la kwanza si ukubwa tu.

Tunapaswa kujua:
  • Jengo ni la matumizi gani?
  • Ramani yake ikoje?
  • Structure yake ikoje?
  • Aina gani ya materials zitatumika?
  • Finishing ni ya kiwango gani?
  • Mahitaji ya maji na umeme yakoje?
Kwa sababu 200 SQM ya nyumba, 200 SQM ya ukumbi wa ibada na 200 SQM ya jengo la biashara si lazima zigharimu sawa.

Usipange bajeti kwa kuangalia SQM pekee.

Ujenzi sahihi unaanza na uelewa, siyo kubahatisha. πŸ—οΈ

RAMANI NINATOA BURE!
Utalipia mchanganuo wa gharama na vipimo.

πŸ“ž CALL & WHATSAPP:
0789005562
0765005562

NICHEKI WHATSAPP πŸ‘‡πŸ‘‡
WhatsApp 0789005562
WHATSAPP GROUP β€” UJENZI NA RAMANI BURE πŸ‘‡πŸ‘‡


Kwa mahitaji ya Ujenzi na finishing karibu sana KELVIN HK BUILDER'S

Ujenzi kuanzia msingi hadi tunakabidhi funguo

Marekebisho Ya ramani
Marekebisho Ya Nyumba
Tiles installation
Epoxy resin
Plasta ya kiwango Bora
Tunapaua PAA za aina zote



TUnakushauri kuhusu ujenzi na finishing Bure kabisa!
Ramani tunatoa Bure...
Call : 0789005562
Nicheki Whatsapp πŸ‘‡πŸ‘‡


Jiunge na group letu upate update kila siku



KELVIN HK BUILDERS
Tunajenga kwa UBORA.
 

Attachments

  • 406355c0f80dc218dfea209cf61c4689 (1).jpg
    64.8 KB · Views: 16
  • 2e02bc3d1162ff84ffcb8ee1f9a9e166.jpg
    136.5 KB · Views: 11
  • 90c86ca10e5b8d3554c41003dd5372dc.jpg
    104.5 KB · Views: 15
  • 90c86ca10e5b8d3554c41003dd5372dc.jpg
    104.5 KB · Views: 20
  • e0a0683a7ac2fca33f8c018749dbbea6.jpg
    92.2 KB · Views: 11
  • e0a0683a7ac2fca33f8c018749dbbea6.jpg
    92.2 KB · Views: 12
  • c8b5ac0bfd35779967e635fb5749c4b1.jpg
    94.3 KB · Views: 13
  • 14e2dac8fc524922fed9dbcb19cd85b2.jpg
    77.6 KB · Views: 14
  • a86d3cd1266c60234ccbac6baa50032f.jpg
    72 KB · Views: 12
  • 7409f323dc566ac8c0c0296a4ad86a20.jpg
    83.6 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…