Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kuwa watanzania wengi bado hawajaamka. Serikali yoyote bila kuionyesha action haiwezi kusikiliza chochote kutoka kwa wananachi.Malalamiko ya wakenya yamefanyiwa kazi,ila malalamiko ya watanzania ni kelele na chokochoko
Watenge na bajeti ya kujenga barabara za vijijini siyo kutupora pesa eti tozo za miamala ya simu kwa ajili ya kujenga barabara za vijijini
Ni kweli ndio maana SSH anasema eti watanzania hawajakataa tozoTatizo ni kuwa watanzania wengi bado hawajaamka. Serikali yoyote bila kuionyesha action haiwezi kusikiliza chochote kutoka kwa wananachi. Serikali ya Tanzania inajua wananchi wake wapo wapo tu na hawajitambui ndiyo maana inakuwa na jeuri ya kufanya mambo inavyotaka. Kwa mfano suala la tozo ni kama watu wameshasahau. Ingekuwa walipotangaza ongezeko la tozo kesho yake watu waingie mitaani na kukinukisha leo unghekuta tozo zimeondolewa siku nyingi.
Hii ni habari ya kweli au fake news? Maana naona hata "Dar es Salaam" imekosewa kuandikwa, na pia barua za kiofisi si huwa zinatoka makao makuu, ambayo ni Dodoma?
Salaam wakuu.
Hivi bei zilizotangazwa na wizara ya afya tarehe 12 aguast kuwa imepunguza gharama kutoka dola 100 hadi dola 50.
Zimeshaanza kufanya kazi au bado ni ileile dola 100?
ShukranDola 50 kwa PCR test na elf 23 kwa ile rapid test ya airport.
Karibu.