#COVID19 Gharama za Upimaji UVIKO-19 zashushwa

Malalamiko ya wakenya yamefanyiwa kazi,ila malalamiko ya watanzania ni kelele na chokochoko
 
... kisa cha kwanza cha Uviko in Tanzania on March 16, 2020. Exactly, a year later on March 17, 2021? What a coincidence!
 
Hiki kipimo pamoja na cha Tezi dume sipimi
 
Malalamiko ya wakenya yamefanyiwa kazi,ila malalamiko ya watanzania ni kelele na chokochoko
Tatizo ni kuwa watanzania wengi bado hawajaamka. Serikali yoyote bila kuionyesha action haiwezi kusikiliza chochote kutoka kwa wananachi.

Serikali ya Tanzania inajua wananchi wake wapo wapo tu na hawajitambui ndiyo maana inakuwa na jeuri ya kufanya mambo inavyotaka. Kwa mfano suala la tozo ni kama watu wameshasahau.

Ingekuwa walipotangaza ongezeko la tozo kesho yake watu waingie mitaani na kukinukisha leo unghekuta tozo zimeondolewa siku nyingi.
 
Ni kweli ndio maana SSH anasema eti watanzania hawajakataa tozo
 
Salaam wakuu.

Hivi bei zilizotangazwa na wizara ya afya tarehe 12 aguast kuwa imepunguza gharama kutoka dola 100 hadi dola 50.

Zimeshaanza kufanya kazi au bado ni ileile dola 100?
 
Salaam wakuu.

Hivi bei zilizotangazwa na wizara ya afya tarehe 12 aguast kuwa imepunguza gharama kutoka dola 100 hadi dola 50.

Zimeshaanza kufanya kazi au bado ni ileile dola 100?

Dola 50 kwa PCR test na elf 23 kwa ile rapid test ya airport.

Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…