Gharama za upimaji Viwanja

baba plato

Member
Joined
Aug 25, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Kuna mahali nimekuta kunazoezi la upimaji waviwanja. Sasa kwa maelekezo ya wapimaji ni kwamba gharama za kupima, kuweka Bikon, pamoja na kupata hati miliki kwa kiwanja kimoja ni laki Moja na nusu (150000 Tsh/=). Hii ni lazina, no negotions na wananchi. .

Je ni sheria za nchi?

Naomba kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…