Gharama za usafirishaji wa nafaka

jino kwa jino

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
794
Reaction score
191
wanabodi nawasalimu

napenda kujua gharama za usafirishaji wa nafaka kwa tanzania ukoje
mfano kutoa mchele ifakara morogoro kuleta dar
mahindi kutoa songea na Sumbawanga hadi dar. nk nk

mzigo ni gunia 50 au 100 nakodisha gari zima au unalipishwa kwa gunia na wanachaji kwa km au ikoje na bei zao zikoje kwa mwenye uzoefu

shukrani wapendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…