crankshaft JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,427 Reaction score 3,438 Jun 21, 2019 #1 Nauliza kuhusu gharama za matibabu kwa masikio yenye uwezo mdogo wa kusikia. Sikio langu moja linanisumbua. Mliowai kupatwa na tatizo hili mlikutana na changamoto gani? Msaada tafadhali
Nauliza kuhusu gharama za matibabu kwa masikio yenye uwezo mdogo wa kusikia. Sikio langu moja linanisumbua. Mliowai kupatwa na tatizo hili mlikutana na changamoto gani? Msaada tafadhali
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jun 21, 2019 #2 Ngoja waje
Chambulikazi New Member Joined Jun 20, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Jun 21, 2019 #3 Pole sana mkuu tusubiri waje tupate msaada maana tupo wengi. Mimi ni mgeni humu nimejiunga jana ila nina ishu ya masikio inanisumbua na mimi
Pole sana mkuu tusubiri waje tupate msaada maana tupo wengi. Mimi ni mgeni humu nimejiunga jana ila nina ishu ya masikio inanisumbua na mimi
Chambulikazi New Member Joined Jun 20, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Jun 21, 2019 #4 Pole mkuu, acha tuwasubiri tupate msaada wote maana tupo wengi. Mimi mgeni humu nimejiunga jana ila na mimi nina ishu ya masikio inanisumbua.
Pole mkuu, acha tuwasubiri tupate msaada wote maana tupo wengi. Mimi mgeni humu nimejiunga jana ila na mimi nina ishu ya masikio inanisumbua.