Kufanya biashara bila kusajiriwa ni kosa kubwa kisheria, Fininnovation Limited itakusaidia kukuhakishia inakusaidia ili uweze kupata kampuni au jina la biashara muda mfupi. Mchato mzima unachukua muda chini ya week moja kama hakutakuwa na marekebisho.