Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,925 Mar 29, 2011 #1 Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali. Nijulisheni jamani
Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali. Nijulisheni jamani
F Fay2011 Member Joined Jan 29, 2011 Posts 46 Reaction score 9 Mar 29, 2011 #2 Serikalini hakunagharama yoyote sina uhakika na private but haiwezi kuwa kubwa kama hiyo.
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 504 Mar 29, 2011 #3 Private hospitals ni kuanzia laki 3 kwenda juu inategemea na hosp yenyewe na kama una health insurance ni gharama zinashuka
Private hospitals ni kuanzia laki 3 kwenda juu inategemea na hosp yenyewe na kama una health insurance ni gharama zinashuka
Papa Diana JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 304 Reaction score 22 Mar 29, 2011 #4 Aga Khan hospital ni kama $1,500/=; na Trauma Centre naambiwa ni kama $4,000 pengine zaidi...sina uhakika sana!! Candid Scope said: Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali. Nijulisheni jamani Click to expand...
Aga Khan hospital ni kama $1,500/=; na Trauma Centre naambiwa ni kama $4,000 pengine zaidi...sina uhakika sana!! Candid Scope said: Watanzania naomba kujua gharama za kujifungua hospitali ni ngapi? Kuna rafiki yangu mke wake kajifungua nchini marekani na kaletewa billya $27,000. Gharama hizo kwa Tanzania mtu unafungua hospitali. Nijulisheni jamani Click to expand...