Gharama za vifaa vya ujenzi na bajeti ya mwaka 2016/17

Gharama za vifaa vya ujenzi na bajeti ya mwaka 2016/17

MWANASIASA HURU

Senior Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
180
Reaction score
240
Wadau habari zenu.

Naomba kuuliza kwa mwenye kujua ama kama amepata fununu toka juu.

Je, kuna dalili zozote za gharama za vifaa vya ujenzi kwa ujumla wake, kushuka kwenye bajeti ijayo?

kwa mwenye taarifa, naomba maelezo japo kidogo.

nawasilisha.
 
Back
Top Bottom