MWANASIASA HURU Senior Member Joined Oct 4, 2012 Posts 180 Reaction score 240 May 27, 2016 #1 Wadau habari zenu. Naomba kuuliza kwa mwenye kujua ama kama amepata fununu toka juu. Je, kuna dalili zozote za gharama za vifaa vya ujenzi kwa ujumla wake, kushuka kwenye bajeti ijayo? kwa mwenye taarifa, naomba maelezo japo kidogo. nawasilisha.
Wadau habari zenu. Naomba kuuliza kwa mwenye kujua ama kama amepata fununu toka juu. Je, kuna dalili zozote za gharama za vifaa vya ujenzi kwa ujumla wake, kushuka kwenye bajeti ijayo? kwa mwenye taarifa, naomba maelezo japo kidogo. nawasilisha.