Gharama za vifurushi jamani zinaumiza Sana Tunaomba watawala Karibu kuliona ili kwani sisi wanyonge ndo tuna teseka.

kahembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
227
Reaction score
310
Vifurushi vina faida nyingi kwa kwetu Wana nchi wa chini .
Kwanza ndipo chanzo Cha mapato, kwani Kuna wajasiliamali wanaotegemea vifurushi vya internet kufanya biashara zao.
Pili wanafunzi wanaotegemea vifurushi vya internet kujisomea
 
Mbona TCRA wanasema wamerudisha
 
Njoo halotel, piga
*150*88#
Chagua 3

Yaani ni shangwe tu yaani..
 
Kwani hujaona report kuwa TANZANIA NDO NCHI YENYE BEI NAFUU YA VIFURUSHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…