Gharama za Wakili kwenye mauziano ya Nyumba/Kiwanja

Gharama za Wakili kwenye mauziano ya Nyumba/Kiwanja

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2006
Posts
751
Reaction score
67
Salamu za mwezi mtukufu ndugu zangu. Naomba kuchukua nafasi kuulizia kwa wale wenye uzoefu, kuhusu malipo ya wakili pale unapotaka akusimamie mkataba wa mauziano ya nyumba, kuna kanuni yoyote katika upangaji wa malipo kwa wakili anayesimamia mauziano?
 
3% ya mauzo mkuu nicheki pm ntakupunguzia(ambulance chaser)
 
Back
Top Bottom