Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Mkuu kuhusu kodi cheki TRA Calculator kwa kuingiza model..CC na make..ila naona hapo ipo juu sijajua ni Ford Fiesta ya mwaka gani ila Ford Trend line za 2015 ndio zinacheza bei iyo..
mkuu gari za south nyingi hazipo katika calculator ya Tra ukimpa agent wanajua wao jinsi ya kukadiria ila CMC ford zinapatikana Usa river Arusha kwa 25 milioni tuu..Hizi gari mkuu ni ford figo bongo ziko chache sana, kali mno hii gari sema tatizo kwenye calcultor ya tra haijawekwa bado hii model. Nlijaribu fanya mawasiliano kwa kujaza ile form wakadai watatoa kwenye calculator mpya utakayokuja sijajua ni lini.
Asante sana Kamanda. Takutafuta niko pande za North West Mafeking kwa sasa taiti kidogo na kazi hiyo gari nimeipenda sana ilivyo.ila nenda kanunue gari SMD auction zipo nyingi ambayo haijagongwa haiwezi zidi rand 60,000 kama upo jozzi tafuta gari hapo Metal ipo faraday au deep city kule mbele kidogo ya market..
Asante mkubwaHizi gari mkuu ni ford figo bongo ziko chache sana, kali mno hii gari sema tatizo kwenye calcultor ya tra haijawekwa bado hii model. Nlijaribu fanya mawasiliano kwa kujaza ile form wakadai watatoa kwenye calculator mpya utakayokuja sijajua ni lini.
Em nipe bei ya Nissan Navara kwa huko, ya miaka ya karibuni..!! Na kuna umbali gan (km), kwa barabara S.A TO TZ (Dom).ila nenda kanunue gari SMD auction zipo nyingi ambayo haijagongwa haiwezi zidi rand 60,000 kama upo jozzi tafuta gari hapo Metal ipo faraday au deep city kule mbele kidogo ya market..