Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Dunia nzima huo utangazaji ndivyo unavyokuwa,gharib the kilwa finest piga kazi mwananguJamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”
“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”
😂😂😂
Badilika mwanetu Kilwa Finest
Hii nimecheka 😂“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”
Mimi napenda huo uwezo wake wa kutoa history so .NAOMBA AENDELEE MAANA NDICHO KIMEMPA MASHABIKI WENGI NIKIWEMOJamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”
“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”
😂😂😂
Badilika mwanetu Kilwa Finest
Mkuu, upo sahihi sana! Utangazaji wa Radioni na kwenye TV, ni tofauti. Wapo watangazaji wa kwenye TV, hawajui hilo, wao wanatangaza hata mchezaji anaporuka juu na kupiga kichwa mpira, au hata beki anaporudisha nyuma mpira kwa golikipa. Kwenye TV, haya yote sisi watazamaji, tunaona!Duniani kote huo mdio utangazaji wa kisasa wa kwenye televisheni. Mpira pale wote tunau9na kwa macho hivyo hakuna haja yeye awe amatangaza kila move wakati tunaiona. Amachofanya ni kuyashabihisha matukio tunayoyaona mchezoni na taarifa mbali ili kunogesha experience ya watazamaji.
Yuko vizuri sama Kilwa finest
Acha wivu wewe. Watu wengi wamemjua na kumpenda kwa sababu hiyo unataka aache identity yake? We vipi bana...!!Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”
“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”
😂😂😂
Badilika mwanetu Kilwa Finest
Kwani unasikiliza redioJamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”
“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”
😂😂😂
Badilika mwanetu Kilwa Finest
Kama ishu ni kiona tu, watazamaji huona kila kitu, kwahiyo commentary na commentator haitajiki.Mkuu, upo sahihi sana! Utangazaji wa Radioni na kwenye TV, ni tofauti. Wapo watangazaji wa kwenye TV, hawajui hilo, wao wanatangaza hata mchezaji anaporuka juu na kupiga kichwa mpira, au hata beki anaporudisha nyuma mpira kwa golikipa. Kwenye TV, haya yote sisi watazamaji, tunaona!
Jamaa yupo vizuri sana, na wengine wajifunze!