The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 290
- 374
Acha wivu fala weye. Mpira tunaona kwa television so pale tunataka visivyo onekana kama afanyavyo mzinga.Kama ishu ni kiona tu, watazamaji huona kila kitu, kwahiyo commentary na commentator haitajiki.
Mzinga anafanya vema kudokeza na historia fupi. Lakini siku hizi amekuwa mpaka anakera, imefikia hatua anashindwa kujua wapi atoe historia na wapi aendelee na commentary.. muda mwingine anazungumza hata visivyokuwa na mantiki..
Upo sahihi.Acha wivu fala weye. Mpira tunaona kwa television so pale tunataka visivyo onekana kama afanyavyo mzinga.
Mfano mimi mpenja sipendi anavo piga makelele hana anacho jua
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana hata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa sana.
“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha kocha Gamondi akiwa na depu”
“Djigui Diarra alienda kumfata refa pale maana anatabia za uongozi alikua captain stade malien”
😂😂😂
Badilika mwanetu Kilwa Finest
Akibadilika atakuwa mzinga wa inzi 😂Ndo style yake akibadilika atakua sio Mzinga tena
Kwamba mtoa mada ni mwanamke 😂Hata mke wangu naye anaona kama wewe. Wanawake huwa hampendi historia. But anachofanya mzinga ni sahihi. Ingawa wanawake mnaweza msipende
Mwandiko mbona unaonesha hivyo. Hasa alipoandika bhana... Nikajua huyu demu. Ndo huwa wanatumia hayo maneno.Kwamba mtoa mada ni mwanamke 😂
Hata mke wangu naye anaona kama wewe. Wanawake huwa hampendi historia. But anachofanya mzinga ni sahihi. Ingawa wanawake mnaweza msipendeKouma la mamer ko