GHOROFA INAUZWA BEI MIL 750

Bei yaks ni cheap sana.

Ningekuwa nayo Cash ningeinunua ila tatizo pesa yenyewe ipo kichwani.
 
Unayajua maghorofa wewe? hicho ki kighorofa cha kubugi tu
 
Kwa Sasa kama wewe ni mfanyakazi wa serikali harafu ushindwe kufanya mambo makubwa utakuwa kichaaa.kunahera nzurinzuri na rahisi rahisii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…