Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ndani ya wiki moja Kuna ghorofa liliporomoka, lilikuwa jengo la Ghorofa 7. Jana tena jengo la Ghorofa 5 nalo limeporomoka.
Hili swali niwaulize wakenya. Tatizo nini huko? Hakuna wahandisi? Wasanifu Majengo? Kwanini ni Kenya tu kila siku?
Hakuna serikali? Inawezekana vipi maghorofa kila leo yanaporomoka?