Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hao jamaa siku wakianza kutahiriwa watakua na akili timamu. Akili zao ziliondoka wakati wa Kuong'oa meno ya mbele kama njia ya tohara so tuwasamehe bure. Wanachojua ni kulinganisha sarafu yao na ile ya Tanzania kuuumbe wamejaa Ufisadi.Ndani ya wiki moja Kuna ghorofa liliporomoka, lilikua jengo la Ghorofa 7. Jana tena jengo la Ghorofa 5 nalo limeporomoka.
Hili swali niwaulize wakenya. Tatizo nini huko? Hakuna wahandisi? Wasanifu Majengo? Kwa nn ni Kenya tu kila siku?
Hakuna serikali? Inawezekana vipi maghorofa kila leo yanaporomoka?
View attachment 2422833
Jengo hili la jana hawakufa. Walikuwa evacuted mapema.😩Watu wamekufa?
Duh, aisee hawa nyang’au ni shida.Ndani ya wiki moja Kuna ghorofa liliporomoka, lilikuwa jengo la Ghorofa 7. Jana tena jengo la Ghorofa 5 nalo limeporomoka.
Hili swali niwaulize wakenya. Tatizo nini huko? Hakuna wahandisi? Wasanifu Majengo? Kwanini ni Kenya tu kila siku?
Hakuna serikali? Inawezekana vipi maghorofa kila leo yanaporomoka?
View attachment 2422833
Kwa nini?Jengo hili la jana hawakufa. Walikuwa evacuted mapema.
bongo kuna orofa gani? ustake nicheke kwa sauti broSaruji zao ni mbovu kabisa, na nondo wanazotumia ni substandard.
Wanaasili ya ubahili, wanapenda mambo makubwa kwa low cost. Mbona bongo hayaporomoki?
Kweli ndugu bongo atuna orofa tuna maghorofabongo kuna orofa gani? ustake nicheke kwa sauti bro
Sisi madon orofa hadi kibera ila tunanyea mifuko ya rambobongo kuna orofa gani? ustake nicheke kwa sauti bro
Weee Nyang'au katahiri kwanza ndio uongeee mbele za wanaume otherwise funga bakuri yako.bongo kuna orofa gani? ustake nicheke kwa sauti bro