ProsStz Member Joined Aug 26, 2018 Posts 22 Reaction score 2 Oct 17, 2018 #1 Ghorofa lina fremu 5 , pamoja na nyumba yenye vyumba 10 ambayo ni sehemu ya eneo linalouzwa, bei tajwa ni kwa vyote yaani hilo ghorofa na hiyo nyumba.bei ni MILLION 320 mazungumzo yapo piga SIMU 0658339930 na 0762068839
Ghorofa lina fremu 5 , pamoja na nyumba yenye vyumba 10 ambayo ni sehemu ya eneo linalouzwa, bei tajwa ni kwa vyote yaani hilo ghorofa na hiyo nyumba.bei ni MILLION 320 mazungumzo yapo piga SIMU 0658339930 na 0762068839
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Oct 17, 2018 #2 Mbona inaonekana majirani ni tegemezi sana
ProsStz Member Joined Aug 26, 2018 Posts 22 Reaction score 2 Oct 17, 2018 Thread starter #3 Kuna ukuta umezunguka, ila hilo eneo limekuwa likitumika kwa biashara
ProsStz Member Joined Aug 26, 2018 Posts 22 Reaction score 2 Oct 17, 2018 Thread starter #4 Pia kuna kiwanja kipo CHANIKA chenye ukubwa wa sqm 725, au mita 25 kwa 30 kinauzwa mil 4.5 hakipo mbali na barabara, njoo tuzungumze 0658339930
Pia kuna kiwanja kipo CHANIKA chenye ukubwa wa sqm 725, au mita 25 kwa 30 kinauzwa mil 4.5 hakipo mbali na barabara, njoo tuzungumze 0658339930
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Oct 17, 2018 #5 ghorofa √√ gholofa X
ProsStz Member Joined Aug 26, 2018 Posts 22 Reaction score 2 Oct 17, 2018 Thread starter #6 Sawa mkuu, hizo ni typing error ingawa maana ni ile ile.....karibu sana mkuu
ProsStz Member Joined Aug 26, 2018 Posts 22 Reaction score 2 Oct 18, 2018 Thread starter #7 Karibuni,
ProsStz Member Joined Aug 26, 2018 Posts 22 Reaction score 2 Oct 20, 2018 Thread starter #8 Pia kuna ghorofa jingine tegeta linauzwa, karibuni