Ghorofa refu duniani lapambwa kwa rangi za bendera ya Kenya siku ya Jamhuri

Ingekuwa Rwanda wangesifiwa but juuu ni Kenya na Uganda watu watasema ni ujinga...tourism marketing lazma zifanywe Kwa Kila mbinu
 
Google pia walikuwa na 'doodle' ya bendera ya Kenya kwenye homepage yao hiyo jana. Kisha wakatoa maelezo kidogo kuhusu maana ya neno Jamhuri. Kiswahili tutaendelea kukieneza tu, hata kama jamaa wa domo domo hawatapendezwa.
Duh.
Kweli nimeamini wakenya wenye akili are now a thing of the past.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…