Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata shida kuingiza gia kwani ni manual?Andika shida yako vizuri,sisi hatupo kichwani mwako.
Sasa utaingiza vipi D bila kuminya hiyo button?Ni automatic transmission nitaka kuondoa gari kutoka kwenye parking kuja kwenye drive ndo napata tatizo kama nilivyoeleza hapo juu
NiuzieSubaru haina button unayosema