Gia namba mbili inapiga kelele

Gia namba mbili inapiga kelele

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,163
Habari wana jf nimekuja apa na tatizo kiaina...kuna gari aina ya fuso 17 ikiwa inarudi gia kutoka namba 3 kurudi mbili inapiga kelele kama ukiwa kwenye motion kubwa inapiga kelele kiasi kwamba inawezq isiingie kabisa na hili tatizo limeanza baada ya kubadilisha cable ya gia msaada jaman nawezatoaje hizi kelele
 
Back
Top Bottom