Gianni Infantino on Qatar 2022: This has been the best World Cup of all time

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
I was there myself, Quata is place to be, everything is perfectly done, beautiful city Doha 100% though the Europeans don't want listen to it. We wish more Arab Middle East countries to hold more world cup.
Screenshot_20221224-104339_Facebook.jpg
Screenshot_20221224-105505_Facebook.jpg
 
Mimi kama bilingual naumia kuona makosa hayo ya kiuandishi kwa infatino na huyo mwarabu.
Ina maana English ni ngumu hivyo
Poor grammar
Syntax error
Spelling mistakes
 
Mkuu hoja yako kwa huyu Mwarabu ipo wazi, niombe kujua makosa kwenye hiyo quotation inayosemekana ni ya Infatino, huenda nikajifunza kitu.
 
Sentensi imejaa makosa mengi sana hii inaonyesha ni fake imeandikwa na mwarabu mshenzi mmoja toka Africa.
Hata jina la nchi kalikosea eti Quata badala ya Qatar.
Is place to be badala ya is a place to be
Everything is perfecly done badala ya everything was perfectly done.
 
Mkuu your English is still so limited and programmed.......some time just keep a loof to criticise. No great gramatical mistake their, even the word Qatar is written according where you background is Qatar. Qautar catar all means one nation.
 
Kwa kuwa umeelewa ujumbe wao, na kwa kuwa hawakuwa kwenye darasa la kiingereza, hayo mambo ya grama, sintaksi na spelin siyo muhimu.
Upumbavu kama huu unaotetea ni kwa ajili ya wajinga tu
 
Sentensi imejaa makosa mengi sana hii inaonyesha ni fake imeandikwa na mwarabu mshenzi mmoja toka Africa.
Hata jina la nchi kalikosea eti Quata badala ya Qatar.
Is place to be badala ya is a place to be
Everything is perfecly done badala ya everything was perfectly done.
Una kiingeleza Cha kukulilishwa. Walioandika wenyewe Sheria hawazifuati ila wanalenga kufikisha ujumbe kwanjia rahisi. Nenda kwenye page za wazungu ukaangalie hizo Grama zako Kama wanazifuata.
 
Hapa niko ulaya .
Watu makini hawafanyi makosa kwenye lugha zao,labda wasanii na wahuni wa mitaani.
 
Ulaya ipi? wakati wangereza wenyewe wanakosea grammer kwa lugha yao wenyewe, wasikilize kwenye interview zao nyingi.
 
Back
Top Bottom