Mkuu hoja yako kwa huyu Mwarabu ipo wazi, niombe kujua makosa kwenye hiyo quotation inayosemekana ni ya Infatino, huenda nikajifunza kitu.Mimi kama bilingual naumia kuona makosa hayo ya kiuandishi kwa infatino na huyo mwarabu.
Ina maana English ni ngumu hivyo
Poor grammar
Syntax error
Spelling mistakes
Sentensi imejaa makosa mengi sana hii inaonyesha ni fake imeandikwa na mwarabu mshenzi mmoja toka Africa.Mkuu hoja yako kwa huyu Mwarabu ipo wazi, niombe kujua makosa kwenye hiyo quotation inayosemekana ni ya Infatino, huenda nikajifunza kitu.
Mkuu your English is still so limited and programmed.......some time just keep a loof to criticise. No great gramatical mistake their, even the word Qatar is written according where you background is Qatar. Qautar catar all means one nation.Sentensi imejaa makosa mengi sana hii inaonyesha ni fake imeandikwa na mwarabu mshenzi mmoja toka Africa.
Hata jina la nchi kalikosea eti Quata badala ya Qatar.
Is place to be badala ya is a place to be
Everything is perfecly done badala ya everything was perfectly done.
Upumbavu kama huu unaotetea ni kwa ajili ya wajinga tuKwa kuwa umeelewa ujumbe wao, na kwa kuwa hawakuwa kwenye darasa la kiingereza, hayo mambo ya grama, sintaksi na spelin siyo muhimu.
Una kiingeleza Cha kukulilishwa. Walioandika wenyewe Sheria hawazifuati ila wanalenga kufikisha ujumbe kwanjia rahisi. Nenda kwenye page za wazungu ukaangalie hizo Grama zako Kama wanazifuata.Sentensi imejaa makosa mengi sana hii inaonyesha ni fake imeandikwa na mwarabu mshenzi mmoja toka Africa.
Hata jina la nchi kalikosea eti Quata badala ya Qatar.
Is place to be badala ya is a place to be
Everything is perfecly done badala ya everything was perfectly done.
Hapa niko ulaya .Una kiingeleza Cha kukulilishwa. Walioandika wenyewe Sheria hawazifuati ila wanalenga kufikisha ujumbe kwanjia rahisi. Nenda kwenye page za wazungu ukaangalie hizo Grama zako Kama wanazifuata.
Ulaya ipi? wakati wangereza wenyewe wanakosea grammer kwa lugha yao wenyewe, wasikilize kwenye interview zao nyingi.Hapa niko ulaya .
Watu makini hawafanyi makosa kwenye lugha zao,labda wasanii na wahuni wa mitaani.