Gibbons Mwaikambo

Jenga hoja si kubwabwaja, una uhakika nimetumwa na nani? Hapo ndipo huwa mnakosea sana
Mkuu I can read you loud and clear!
Huwa tunakosea na nani?
Kwa sentesi hiyo umeji associate na a distinct seperate group that thinks its always right.
Huna haja ya kusema uko wapi, your literal language gives you away.
 
Mkuu I can read you loud and clear!
Huwa tunakosea na nani?
Kwa sentesi hiyo umeji associate na a distinct seperate group that thinks its always right.
Huna haja ya kusema uko wapi, your literal language gives you away.
Mkuu naona "umemdadavua " jamaa!
 
Kuwa mkweli, kabila lililokuwa na watu wengi Bima ni wasukuma wakifutiwa na wachagga.
Umewasahau kina mzee Mkani?(mdogo wake Bob Makani), mkurugenzi Kapalata(mnyamwezi), Kusaga(baba yake mwenye Clouds Medialeo) na wengine wengi tu.
Wekeni proper historical perspective.
 
Wakati nasoma tambaza kuna sehemu ya ukuta pale ubalozi wa zaire (congo drc) mpka 1996 palikuwa hapajajengwa , ndiyo sehemu alipogonga ukuta ,simulizi ni kuwa alikuwa anawakimbia wasiojulikana ndipo alipogonga ukuta wa ubalozi na kupata mauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapalata na Kusaga wote Wanyamwezi inakuaje tena wakawa Wasukuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua unaweza kuchangia kitu vizuri, halafu baaadae kwa unafki wako ukaharibu. Sasa Mbowe anakujaje hapo? Acheni chuki za kupandikizwa tu na watu wanaokulisha ugari!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa siye tuliokuwa tuna mfahamu zee Gibbons Mwaikambo, alikuwa mmoja wa Wadhamini(financiers) wa Chama, pili alikuwa Mwenyekiti wa Idara ya Chama Wazazi.

Kuhusu ajira pale Bima ni kweli wanyakyusa walikuwepo wengi lakini baada ya Bungeni kuulizwa swali hilo na sensa ya makabila kufanywa, ikabaini wasukuma kuongoza ajira kwa wingi wakifuatiwa na wachagga, na wa tatu wakiwa wanyakyusa.
 
Akiwa NIC aligeuza lile shirika likawa kama Tukuyu Star.. Kila upande wanyakyusa
 
Haaaahaaaaa....na Prof alipotinga mawasiliano lugha TTCL ikawa tununu....ndaga fijo....


NIC ya kina Kasamala....yule sijui Ngonya....you name it!

Kizuri NIC was performing
Mkuu kimila tuanaoneka tu wengi sababu ya lugha.
Actually wanyakyusa ni kabila dogo sana, tatizo ni lugha.
Mnyakyusa akimkuta mwenziwe, kusalimia kwa lugha nyingine kimila ni kama umemdharau.
Lazima kusalimia kwa lugha ya mama.

Nashukuru ume acknowledge, wanyakyusa ni very hard working.

Ndagha!
 
Alikuwa ni mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi miaka ya 90
 
Mkuu wanoujua ukweli wa "ajali" hiyo wapo.
Lakini wengi wanasema hadi gari linagonga ukuta the man was already dead.
"Ajali" ilikuwa stage managed.
 
Ukiandika kitabu utulie zaidi, umeeleweka sana ila hiyo miaka kama umechanganya changanya vile, angakia 1985 na 1989.
Thank you for sharing
 
Magodfather wa wanyakyusa ni Marehemu Gibson Mwaikambo na Marehemu Amon Nsekele hao ndio wanyakyusa walio kuwa na ushawishi mkubwa mpaka sasa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hiyo niliyowekea rangi nyekundu ni speculation yako tu mzee, kwa sababu hata mimi nilihudhuria msiba wa Mwaikambo nyumbani kwake wakati huo kwa vile ndugu yake mmoja alikuwa rafiki yangu. Mwaikambo alingia kwenye siasa ama mwaka 1980 au 1981 akiwa mbunge wa taifa kupitia Jumuia wa wazazi na aliendelea hadi mwaka 90; katika kipindi chake cha kwanza cha ubunge alifanya akiwa na kofia mbili, ubunge na umeneja wa NIC. Kama Mrema aliyehama kutoka Naibu Waziri Mkuu na kuwa mpinzani bado leo yupo hai, au Marandu aliyekuwa shushushu wa kutupwa wa serikali lakini aliondoka na kuaanzisha NCCR-Mageuzi naye bado yupo; unapata wapi imani ya kuwa serikali ilimuua Mwaikambo? Gari lake alilokuwa akiendesha na nguzo aliyogonga hadi kuanguka na gari hilo vyote vilionekana wakati huo na alikuwa peke yake kwenye gari.

Hizi conspiracy theories wakati mweingine zinasaidia kugawanya taifa bila sababu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…