Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Nachukua nafasi hii kuwapongeza TOC kwa kufanya Uchaguzi wao kwa mujibu wa katiba yao.
Pili, niwapongeze Shirikisho la Kenya (AK) kwa kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwake wakifikia mafanikio makubwa ya Riadha duniani.
Shirikisho la Riadha la Kenya linasherehekea miaka 70 tangu kuanzishwa kwake huku wakiorodhesha mafanikio makubwa katika riadha kimataifa, nchi zote za Afrika Mashariki zinajitahidi kufuata nyayo za Kenya isipokuwa Tanzania.
Uganda imeanza kuwa tishio ulimwenguni baada ya Shirikisho la Riadha nchini humo kuanzisha Programu mpya ya mazoezi ya kisayansi huku wakiwatumia wataalamu waliobobea katika mchezo huo.
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevamiwa na wasioujua mchezo pamoja na kuvunja katiba na sheria za mchezo huo huku Baraza la Michezo Tanzania (BMT) likiwaogopa viongozi hao wa RT sababu wengine ni Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mabenki. Hapo walipo KIKATIBA siyo viongozi tena kwani miaka yao minne imeisha November 27th 2020, BMT inasimamia Sheria (Act No. 12) ya mwaka 1967 iliyotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini hawachukui hatua walizopewa na sheria hiyo ya Bunge.
Shirikisho la Riadha Duniani (World Athletics - WA) linamchunguza baadhi ya viongozi wakuu wa RT kwa kosa la maadili (Violation of IAAF Code of Ethics), uchunguzi huo nimeuwasilisha kwa maandishi BMT, na kwa aliyekuwa Waziri wakati huo pamoja na kwa Mkurugenzi wa Michezo nchini kipindi hicho (tangu mwezi May 2019 ) sambamba na malalamiko 25 yanayoambatana na ushahidi mwingi lakini halijafanyiwa kazi.
“President Magufuli has become the force to recon in the fight against corruption; yet some of his appointees become the subject of international investigation on possible offenses”. Hiyo ni fedheha kwa Rais na nchi yetu kwa ujumla, BMT na Mkurugenzi keep on hiding the truth that stains the image of our country in the face of International World of Sports.
Kwa staili hiyo ya kulindana watanzania wasitegemee chochote katika Riadha, Olympics zitakuja na zitapita sisi tujiandae kuwashangilia majirani zetu. “Pamoja na juhudi za rais Magufuli kuleta mapinduzi ya kimaendeleo katika sekta zote nchini lakini sekta pekee itakayomtia doa DAKTARI MAGUFULI ni sekta ya michezo hususan RIADHA inayoongozwa na naïve strangers who constantly claim to be the cousins of every prominent government official”.
Miaka yangu mitatu katika riadha yalifanikisha yafuatayo:
1) Ofisi ya RT kupatikana na kuwa na anwani inayojulikana (Physical Address) ambapo kabla ya hapo portable laptops ndiyo ilikuwa ofisi.
2) Medali mbili za fedha zilipatikana mojawapo ikiwa ya mashindano ya dunia London 2017 kupitia Alphonce Felix Simbu
3) Timu za taifa zilikaa kambini na zilishiriki mashindano yote ya kimataifa kwa idadi zilizokidhi hitaji la taifa
4) Wanariadha wote walipata stahiki zao wakiwa kambini na wakiwa safarini kuwakilisha taifa letu kikamilifu
5) Mishahara na NSSF za waajiriwa wa RT nilizilipa kwa utashi na kwa ujasiri bila kujali mabosi wangu wanasema nini nk.
“Nimeshangaa sana majuzi kusikia RT wameshindwa kusafirisha timu ya taifa yenye wanariadha wawili tu kwenda Poland kuwakilisha Tanzania katika mashindano ya dunia (World Half Marathon); nikajiuliza kulikoni kuna Viongozi Vigogo wa RT nchini wanashindwaje kuitendea taifa lao haki?”
Wakati nikiwa Katibu Mkuu RT - timu zetu za taifa zilikaa kambini vyema na kushiriki mashindano yafuatayo:
1) 2017 Kampala World Cross Country Championships (wanariadha 25) ambapo timu ya wanawake ilimaliza namba 6 duniani
2) 2017 London World Athletics (wanariadha 8) ambapo Tanzania ilinyakua medali ya fedha kupitia Alphonce Felix Simbu
3) 2018 Aarhus Denmark World Cross Country Championships (wanariadha 16) Tanzania ikashika nafasi ya 8 duniani
4) 2019 Doha World Athletics Championships (wanariadha wanne (4) ambapo Simbu alimaliza namba 16 duniani.
Katika idadi hiyo sijajumuisha idadi ndogo ya viongozi walioambatana na timu zetu pia sijajumuisha mashindano ya All African Games na Commonwealth Games ambazo huratibiwa na TOC.
Wanariadha na makocha wote walipata stahiki zao (posho) wakati wote wakiwa makambini na wakiwa safarini (stahiki za malipo yao nilizingatia sheria za (WA) iliyofahamika kama (IAAF) kwa wakati huo.
“Simba ni mnyama mkali na jasiri sana; lakini akizungukwa na Mbwa Mwitu wengi waliodhamiria kumjeruhi lazima akimbie - and so that’s what I did”.
Nawatakia Mawaziri wapya kazi njema (Waziri mwenye dhamana ya Michezo na Naibu wake).
gidabudays@gmail.com 0738052730.