njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nasikiza mechi ya utopolo na Azam hapa kupitia UFM dah mtangazaji anajitahidi ila mchambuzi bwana Macha hapana kwa kweli. No nafkiri kuchambua mchezo unaoendelea ni kipaji kwelikweli na kujua soka vizuri.
Yaani tofauti yako na kina Kashasha hata kina Khalid wa radio one au yule Mwarabu/Mpemba wa Kizenji wa Azam au kina Ally kamwe inaonekana kabisa.
Uwe unaomba mtu akurekodi ukiwa unachambua halafu ujisikize bro, ni hayo tu.