Gift Macha, pull up your socks; uchambuzi bado huuwezi vizuri

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nasikiza mechi ya utopolo na Azam hapa kupitia UFM dah mtangazaji anajitahidi ila mchambuzi bwana Macha hapana kwa kweli. No nafkiri kuchambua mchezo unaoendelea ni kipaji kwelikweli na kujua soka vizuri.

Yaani tofauti yako na kina Kashasha hata kina Khalid wa radio one au yule Mwarabu/Mpemba wa Kizenji wa Azam au kina Ally kamwe inaonekana kabisa.

Uwe unaomba mtu akurekodi ukiwa unachambua halafu ujisikize bro, ni hayo tu.
 
yeye ni kuponga tu na kukomalia kutoa ushauri eti makocha wetu walifanyie kazi suala la umaliziaji.....
jamaa anatia kinyaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…