Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Hivi yeye kajirekebisha? naona ndo mwendokasi zaidi kama ndo anafidia alichokosa kipindi anapitia hayo maswahibuKupitia maisha magumu mbeleni waweza kujirekebishaa
Hizi ni tabia binafsi kuna wengi tu mbona wamepitia maisha magumu na mabaya zaidi kuliko yeye na Leo ni watu wa kuheshimika mno katika jamiiiKuzishughulisha sehemu zake za siri anatoa lawama kwnye malezi, hajitambui huyu...
Kibaya zaidi hawahawa ndio wanatumika kwenye kampeni 2020..
Tabia ya kihuni tu . ..Mwenye Enzi Mungu amsaidie abadilike . ..that's all . .
Amen RAHizi ni tabia binafsi kuna wengi tu mbona wamepitia maisha magumu na mabaya zaidi kuliko yeye na Leo ni watu wa kuheshimika mno katika jamiii
Usicheze na CCM wewe.Kuzishughulisha sehemu zake za siri anatoa lawama kwnye malezi, hajitambui huyu...
Kibaya zaidi hawahawa ndio wanatumika kwenye kampeni 2020..