Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Duh hapanaHahaha unampa promo naona
Ndo!Wabeba Box
Haaa duhDishi limecheza likija kukaa sawa ashakuwa bibi Bomba.
Google mkuu, ni video queen piaHuyo ana umaarufu kiasi gan wekeni CV yake wakuu
Kwa hii comment ni dhahiri watanzania ni malimbukeni wa umaarufu.Kwa umarufu alionao akigombea ubunge 2020 anaweza Kupata
Kwa nchi yetu mtu anachaguliwa kwa umarufu wake na cio Cv yake labda awe mzee,Kwa hii comment ni dhahiri watanzania ni malimbukeni wa umaarufu.
Mtu hachaguliwi kwa umaarufu au mapenzi/love binafi na mtu bali anachaguliwa kama anaiweza shughuli husika.
Kwa namna hii bongo tutaendelea na mawazo mgando kama haya kwa zaid ya miaka 300
Sio waote laknBongo bila umalaya maisha hayaendi.
Kwa tiketi ipi mkuuKwa umarufu alionao akigombea ubunge 2020 anaweza Kupata
Chama tawala ama upinzani but upinzani ndo kuna chance zaidi kwa sababu wanahitaji watu maarufu wengi ili waweze kueleweka haraka na wapiga kuraKwa tiketi ipi mkuu