GIGY MONEY akikatika mauno Eatv, kweli huyu ni Hatari, afunika Bongo movie na Video queens wote.

Hiyo video itakuwa ya zamani naona bado bonge nyanya wakati now ni SLIM SHADY.
 
Msanii Gigy money balaa lake la kukata mauno EATV ni hatari sana, queen mwenye confidence ya ajabu anasifika zaidi kwa kuvaa mavazi yenye utata na muonekano wa ukweli haya kwa wasanii wenzake.
Big up Gigy money endelea kufanya kweli.
Hiyo sauti ya mwanamke anaecheka cheka ni mke wako au dada ako? samahani mkuu sina nia mbaya...
 
Ukipata bahati kukutana nae ni demu wa kawaida sana.. hadi upuuzi kumuangalia..
 
Hadija kopa, Martha Mlata, Prof. Maji Marefu, Mrs. Kikwete, hao walikuwa na mchango gani mpaka wakawa wabunge?
 
Umaarufu ni kutokana na mwili wake? Hii ndio sanaa?
 
Sijaona mauno apo zaid ya kujitingisha..kuna watoto wanakata mauno tena hawana hata hilo tako..huyo anatingsha matako tuu
 
Minyama uzembe ya kufa mtu ...duh, kweli kila mtu na taste yake!!
 
Kila siku gigy anachoka usoni, starehe nyingi hapumziki na mapombe makali hayo wanayokunywa
 
Mavazi yasiyoheshimu jamii unayaita mavazi tata!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…