Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Mkuu my first and last time kuingia club was Maisha dom, what I saw from vibabu...
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Umenichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngumu kumesa...[emoji1495]
Shit Happens...sijui ataongea lugha gani mkewe amuelewe..yani akiwa anajitetea ...mke wake ananyanyua simu anamuonyesha vids anakua mpole hapo hapo..beef hili litaacha kovu kubwa kwa familia yake
 
Bottom line is "POMBE SIO CHAI"
 
Toooooba!!! Kumbe hata tusimlaumu jamani. Hadi huruma imeniingia ghafla.
Kabisa dear alisema hajawahi kupata mapenzi ya mzazi maana hakumjua baba ake na mama ake hakuwahi kumpenda maana ktk watoto wote baba ake tu ndio hakuwa anatuma HELA za matumizi kwa mama, ila alipata bahati ya kwenda kumzika baba ake baada ya kufariki aliambiwa na mama ake babako kafa basi akaenda masibani.
 
Naona huu uzi leo dada zetu wameuchangamkia sana.
 
Ni kweli kwa sasa ni ngumu sana kumjua mpenzi wa kweli maana hata maana ya mapenzi wengi hawajapata bahati ya kuijua wanajua kupewa pesa na good time ndio mapenzi bali kupta mtu wa kukujali na kuogopa kukuumiza ni ngumu sana, yaani mngetuhurumia tu maana hakuna kiumbe muaminifu na mwenye mapenzi kama mwanamke, anatongozwa anakubali anaenda anapanua miguu bila hata kujua ni kitu gani kinatumbukizwa huko..Shida mno.
 
Mi nilipoanza kuona lawyer anashinda insta kupost private life na mengine ya familia yake, nikajua nii swala la muda tu kabla ya kuchafuka.
 
Mi nilipoanza kuona lawyer anashinda insta kupost private life na mengine ya familia yake, nikajua nii swala la muda tu kabla ya kuchafuka.
 
So sad[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Aka kanchi papuchi zinaendesha wanaume kama remote si vijana si wazee wote wakiona chura akili zinaruka.
 
Hiki kitu ni mbaya sana kwa mhusika hasa kama itafika siku akataka uongozi wa kuchaguliwa na vidole vya wananchi.
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Kuoa sio mwisho wa kupenda ww
 
Mbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
Usihofu atamsamehe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…