Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Kuna mtu asiyesaliti uhusiano wake? Ama hakuwah saliti? Aseme hapa kwa viapo vyake vya imani aape.
 
sijui sheria inasemaje ila huyu dada inabidi afunguliwe mashtaka
 
Huyo demu kakubali kwamba yeye ni malaya rahisi.
 
Alikuwa kalewa naomba asiukumiwe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aisee wewe uliyeiweka hii picha ya familia hapa umewadhalilisha sana hawa watu.
hebu fikiria mtoto anayesoma na huyo mtoto mdogo wa kiume akiona ataenda kumwambia nini huyu mtoto?
Yaani mimi nawadhalilisha kuliko baba yao? Hizi picha zinasambaa whatsapp!
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Kuna waheshimiwa tena above 60s ambao wanapenda threesome,foursome na orgy balaa. Watoto wa CBE,IRDP,UDOM,SJUIT & LGTI - Hombolo wanalijua hili. Kuna mlupo wangu enzi za 1999 alimblackmail mhe. mmoja kwa video ya foursome,akalamba 10 Mil by then,now yupo SA anafanya biashara zake huko.
 
Msando kashaomba msamaha, binadamu tunateleza. Kurudia kosa ni kosa wakili msomi, ila sasa yameisha. Life inasonga chalii au sio. Kesho kama kawa weekend inaanzia The Don!
 
Unajua huyu gigy money anashindwa kuelewa kwamba hataishi maisha ya ujana milele. There comes a time in life you might wish to back in time to undo some stuffs you did in the past cause they might hunt you for the rest of your life. Watu kama kina sharon stone, nicole Kidman, Madonna ni moja ya watu wengi wanaojutia mapito yao ya ujana ukilinganisha na saivi ambapo wanaishi maisha ya familia. Imagine kina willow na jaden smith wakiperuzi internet na kukuta muvi kama ya Jason lyric aliyoact mama yao mpenda jadda pinkent smith enzi za ujana wake watajiskiaje? Vitu vingi tunavyovifanya ujanani vinA IMpact kubwa sana mbeleni. Namuomba sana mwwnyezi Mungu Pamoja na bata zote ninazokul mara moja moja, anipe hekIMA, weledi na maarifa nisifanye vitu vitavyohaunt mpKA uzao wangu. Ila fresh tu maana tuna kitu kinaitwa liberty, a freedom to live as u wish within the interests of the law kwaio sio mbaya mtu akautumia uhuru wake kufanya kile anachodhani ni sahihi bila kuingilia uhuru au matakwa ya wengine..
 
Ila huyu habadiliki. Hizi tabia yeye anaona sifa. Bado ana 'utoto'. Na mke nae asijidai kuumia maana anamjua huyu jamaa kwa hizi tabia kabla hajamuoa na ndani ya ndoa hili si la kwanza. Kama alitegemea kumbadilisha pole yake! Tunasema ALIYATAKA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…