Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha ha niliwahi kusoma mahali kwamba "ukiona unawekwa profile picture usifurahie kuwa unapendwa, unatambulishwa kwa wenzio" lolHawa wanaume wa kutwa kucha kupost ig i love my wife huwa wazinzi tu wa kinya kimya kwa kivuli cha i love my wife
Hapa hapa celebrities ipo, cheki thread inayohusuHiyo video ipo wapi?nami nikaione
Pole zake kwakweliTena pole kubwa, hii ni aibu kwakweli.
Hiyo video ipo wapi?nami nikaione
Kuna kukosea mamiii......Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Kuna thread humu ina hiyo video. Sema nimeshindwa ku upload hapa tenaHiyo video ipo wapi?nami nikaione
Marehemu gani tena?Lakini kitambo sana Alberto alikuwa anadaiwa anamla Nyanga Marehemu na ilikuwa skendo sana... Hivyo anaendeleza ubazazi wake, bora kama ni kwa Giggy na ni wa kike kuliko alvyokuwa anawapiga wanaume wenzie.
Jack pole sana
Tangu lini albert amekua msemaji wa act??Nyie hawa wanaume acheni tu ni washenziii balaa! Yaan huyu Albert yule bint wake wa kwanza si kalingana na gigy?? Kiherehere gani kimemsibu huyu msemaji wa ACT wazalendo
Kua mpole kichwa cha nyoka kikiamka kinapumbaza vibaya kichwa kilichobeba madegree,vifungu vya sheria,formulas,standard nkNyie hawa wanaume acheni tu ni washenziii balaa! Yaan huyu Albert yule bint wake wa kwanza si kalingana na gigy?? Kiherehere gani kimemsibu huyu msemaji wa ACT wazalendo
Mmmh atakama kusaidiana Majukumu co kwa styl hio....its 2 much kwakweliHa ha ha ha niliwahi kusoma mahali kwamba "ukiona unawekwa profile picture usifurahie kuwa unapendwa, unatambulishwa kwa wenzio" lol
Weka video zao hapaMnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Hapo gigy kishapata kik ambayo ndio intention yake.Mmmh atakama kusaidiana Majukumu co kwa styl hio....its 2 much kwakweli
hili ndilo la maana aisee,utanigusa na mimi ukiionaHiyo video ipo wapi?nami nikaione
Marehemu yupi tena jamani? Tupe ubuyu mkuu [emoji6]Lakini kitambo sana Alberto alikuwa anadaiwa anamla Nyanga Marehemu na ilikuwa skendo sana... Hivyo anaendeleza ubazazi wake, bora kama ni kwa Giggy na ni wa kike kuliko alvyokuwa anawapiga wanaume wenzie.
Jack pole sana
Acha tu cuzoo! Nimekasirika utadhani Mimi ndio nimefanyiwa hivyo.Nyie hawa wanaume acheni tu ni washenziii balaa! Yaan huyu Albert yule bint wake wa kwanza si kalingana na gigy?? Kiherehere gani kimemsibu huyu msemaji wa ACT wazalendo