Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Albert is a man like other men,he has got feelings like other men, he is not the first with such kind of scandals and he will not be the last, Kashfa kama hizi zilishawakuta Marais wanaoongoza nchi kubwa na zenye nguvu za kila aina duniani, lakini wake zao waliamua kuiachia busara na hekima ifanye kazi yake, yanaandikwa mengi kwenye forum mbali mbali, Let us thank GOD we don't know the other part of our partners, na ukija ukifahamu ndiyo utajua hii ni miongoni mwa baadhi ya kashfa ndogo tunazozifahamu, Binadamu akikosea hutakiwi kuangalia baya au mabaya yake tu ni vyema ukaangalia na mazuri yake pia, since We are still living no one is perfect except GOD, tusilishadadie hili kwasababu yetu bado hayajafahamika, this is the scandal like other scandals, tumuombee liishe salama, waendeleze maisha na mwenza wake,yetu nasi yakifahamika walimwengu watashika vichwa na shetani atakimbia,thnx!!!
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
Hizo ni inshu binafsi mkuu na kila Mtu ana yake,kuwa mheshimiwa na uhalisia wa tabia ni vitu viwil tofaut
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Shemela kama wewe ni wa ule upande wa ndoa yake mke mmoja basi ndo hivyo hadi kifo kiwatenganishee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] .

Swali ni je ikiwa hadharani yanafanyika haya vipi vyumbani/gizani.
 
Huyo Gigy ndo atakuwa ameamua kuisambaza kwa ajili ya kiki Alberto hawezi kufanya hivyo ili ajidhalilishe. Kama picha zilikuwa ktk simu yake Gigy zimefikaje ktk Mitandao. Hataree sana kuwa karibu na watu wa aina ya Gigy kama mtu una reputation yako yaan waipuke kama ukoma. Nadhani saa hii Albert anajuta kuwa close na huyu mtu. Gigy haonagi shida hata kukaa uchi ili apate kiki yupo tayari kufanya lolote sio mtu mzuri kujihusisha naye.
 
Hii kesi ndogo,lawyers can get away with murder case ijekua hii,Msando akishindwa kuchomoka basi atakuwa sio best lawyer a.k.a learned brother!
 
Msando ndio ambae ACT wamempa nafasi ya ushauri wa Chama nafasi ya Kitila.. Kama gigi kamfanya hivi, je Wema aliemtetea katika kesi kamfanyaje
Huyo ni mwanamme Kama wanaume wengine rijali, kiongozi au sio kiongozi. Msifukue makaburi!
 
Namuwazia mkewe kesho asubuhi anaamka kapendeza anaenda ofisini watu wanamtazama kama nyanya mbichi[emoji21] [emoji21]

Ni fedheha tupu....

Na akili za gigy tunazijua kilichomsibu Alberto kujirecord ni nini[emoji35] [emoji35] [emoji36]
 
Namuwazia mkewe kesho asubuhi anaamka kapendeza anaenda ofisini watu wanamtazama kama nyanya mbichi[emoji21] [emoji21]

Ni fedheha tupu....

Na akili za gigy tunazijua kilichomsibu Alberto kujirecord ni nini[emoji35] [emoji35] [emoji36]
Pilipili ikiingia machoni huskikii muwasho??
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Pole Msando!! wewe si wa kwanza tatizo wewe ni maarufu.

Siku nyingine hutu tubongo fleva ni vya kuvipiga kazi kazi yaani unahakikisha unakula kweli kweli hadi mazoea yanakoma.

Hutu tubongo fleva tujinga sana..

Omba game ya marudio upige kazi kweli kweli uone kama katasambaza video Tena!!!
 
Daaaah tatizo lako Don unataka mastaa wote uwale..

Hao uliowala hawakutoshi kwani wakili msomi? But feel so sorry for you bro, wife amepitia mengi hata hili pia litapita
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…