Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Ana matatizo ya kisaikolojia,makuzi yake alikuwa abused sana,
source,yeye mwenyewe
Mbona kila mtu kavurugwa ila hatufanyi ungese kama anaofanya yeye....mwambie kila mtu ana dhiki zake atafute kiroba sahihi abebe dhiki zake asepe..akizimwaga mtaani na kina wema jokate madam ritta zari wolper kajala shishi nk wakimwaga zao tanzanianitakuwa sio sehemu sahihi kaa malezi ya watoto.
 
Jana ilikuwa ni siku yao, Dar ndio inaongoza kwa wagonjwa wa akili, serikali imejitahidi kuweka vituo vyao Muhimbili. Milembe n:k.

Kama una nia ya kumsaidia mpeleke kwenye moja kati ya vituo hivyo.
Mkuu unatumia kigezo gan kumpembua MTU mwenye ugonjwa wa akili!!
Je MTU kushikiria tamaduni ndio uzma wa akili
Na MTU kufuata tamaduni za nje au kutohifadhi sehem kubwa ya mwili wake ndo ugonjwa wa akili!!
Ikumbukwe kabla ya technologia binadam alikua anatambea uchi wa mnyama !!!
...............[emoji15] [emoji15] [emoji15] ..........
 
Aiseeh TRA wako wap?wasiende kumtoza ushuru huyu binti maana amekuwa anafanya vizur kwenye biashara yake bila kulipa kodi
 
Yaaani mpaka sasa hivi sijaona uzuri wa huyu mdada naona anapigwa tu promo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…