Gigy Money asema yupo tayari kucheza filamu za ngono kwa sharti hili

Tanzania kubwa sna nae ana ndoto anataka kutimiza ndoto kweli ukiwa Rais wa Tanzania lazima hue mwendawazimu watu unawaongoza kama huyu gigy money kwanza awekwe ndani
 
Mwambieni huyo mama waziri wa afya makahaba wengine wako bongomovie asio waone Dada zangu wa buku tano
 
Anataka kubadilisha maisha kwa kucheza porn? Eti Bongo ndio celebrity huyu, hajui hata kinachoendelea duniani.
 
Skuiz pornstars ata awalipwi vzur imeshakua kitu cha kawaida
 
Nimeamini maneno ya msanii flan hivi kuwa shida ukizitumia kama kigezo sharti mwili utumike,haya kila la kheri dada katika kupata vyote kwa mpigo starehe ya sex na pesa pia.KICHWANI EMPTY YAANI.
 
Kuna millions wanacheza hizo filam za ngono bure kabisa...
asije kudanganywa atalipwa mamilioni akaishiwa kutapeliwa
hao kina Cherokee tu ni maarufu porn stars na wanalipwa dolar 800 tu kwa saa...
Mkuu unamvunja moyo anangojea deal ilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…