mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Hivi ustaa ni ngono tu !Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.
Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Hivi Gadna nae anatoa huo mshiko kila siku?Wanatafuta kick kwa kila.hali si wanjua wabongo hawana reasoning capacity...yaani wanabeba kama ilivyo..ona shigongobkesho atakavyouuza magazeti
labda atokee mwanaume mwenye hela zaidi!!!!!! hii ni hatari.Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.
Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Unanunua 'K' ππππππMhhhhh! Laki tano kila siku! Ukipanda dau mzigo unachukua. Laki tano! Laki tano!
Wajemeni hapa nanunua nini?
Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.
Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Go go go gigyyy ukifa maskini wakati mtaji umeukalia utachekwa!!!